๐Ÿ“š All Posts

Post Image

PONGEZI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI รขโ‚ฌโ€œ FTNA

Uongozi wa Shule ya Sekondari Mayeka unapenda kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote wa Kidato cha Pili kwa matokeo mazuri waliyopata katika Tathmini ya Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA) iliyoandaliwa n...

๐Ÿ“… Posted on: 2026-01-10 06:44:05 Read More
Post Image

JOINING INSTRUCTIONS FOR 2026

Kwa wale wanaotaka kujiunga na shule yetu pakua PDF inayoonekana hapo chini....

๐Ÿ“… Posted on: 2025-12-15 02:07:11 Read More
Post Image

HONGERA SANA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI! รฐลธลฝโ€ฐ

Leo mmemaliza Mtihani wenu wa Mwisho, hatua muhimu sana katika safari yenu ya kielimu. Tunawapongeza kwa bidii, nidhamu, na uvumilivu mlioonyesha katika kipindi chote cha maandalizi na wakati wa kufan...

๐Ÿ“… Posted on: 2025-11-14 03:51:37 Read More
Post Image

HERI ZA MITIHANI YA TAIFA WA MWAKA 2025 KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI

Tunawatakia heri njema wanafunzi wote wa Kidato cha Pili katika mitihani yenu ya Kitaifa.
Huu ni muda wa kuonesha jitihada zenu zote mlizoweka katika mwaka mzima wa masomo.
Kumbukeni kuwa mafanikio ...

๐Ÿ“… Posted on: 2025-11-10 00:36:18 Read More
Post Image

MATOKEO YA JOINT MOCK TARAFA YA KIPEMBAWE.

Matokeo ya tarafa mock yametoka na wanafunzi wetu wamefanimiwa kufanya vizuri sana. Shule yetu imekuwa ya kwanza miongoni mwa shule nane zilizopo tarafa ya Kipembawe.

Vile vile katika zile nafasi ...

๐Ÿ“… Posted on: 2025-09-19 01:15:19 Read More
Post Image

MATOKEO YA MOCK KANDA FII - 2025

Matokeo ya mtihani wa utimilifu kanda yametoka na wanafunzi wetu wameweza kuongoza katika shule 19 za wilaya ya Chunya.

Kikanda jumla ya shule zilikuwa 797, na shule yetu imefanikiwa kuwa kwenye ku...

๐Ÿ“… Posted on: 2025-09-19 00:59:55 Read More
Post Image

Welcome to the Mayeka Girls Secondary School Website

We are excited to launch our official school website.
Here, students, parents, and teachers can access results, announcements, study materials, and updates.
This platform is designed to impr...

๐Ÿ“… Posted on: 2025-09-11 00:55:13 Read More