HERI ZA MITIHANI YA TAIFA WA MWAKA 2025 KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI

10 Nov 2025 00:36 EAT 3 comments
Tunawatakia heri njema wanafunzi wote wa Kidato cha Pili katika mitihani yenu ya Kitaifa.
Huu ni muda wa kuonesha jitihada zenu zote mlizoweka katika mwaka mzima wa masomo.
Kumbukeni kuwa mafanikio yanahitaji nidhamu, bidii, na imani katika uwezo wenu.

“Ufaulu si bahati, ni matokeo ya juhudi na kujituma.”

Uongozi wa Mayeka Secondary School unaendelea kuwaombea mafanikio mema, afya njema, na amani ya moyo wakati wa kufanya mitihani.

Tupo pamoja nanyi – Hatutaki kuacha mtu nyuma!



_________________________________________________________________________________

We wish all our Form Two students the very best as you sit for your Necta examinations.
This is the time to show the results of your hard work and determination throughout the year.
Remember, success requires discipline, effort, and confidence in your abilities.

“Success is not luck; it is the result of hard work and commitment.”

The administration of Mayeka Secondary School is praying for your success, good health, and peace of mind during this examination period.

We are with you – We don’t want to leave anyone behind!
Previous
MATOKEO YA MOCK KANDA FII - 2025

Comments

3
M
Mwl Faraja
11 Nov 2025, 14:28 EAT
Yesu awaongoze Katika yote.
D
David
11 Nov 2025, 04:39 EAT
We love you
J
Jumanne Magafu
11 Nov 2025, 00:52 EAT
Nawatakia mitihani mema wadogo zangu.

Leave a Comment

Preview