Matokeo ya tarafa mock yametoka na wanafunzi wetu wamefanimiwa kufanya vizuri sana. Shule yetu imekuwa ya kwanza miongoni mwa shule nane zilizopo tarafa ya Kipembawe.
Vile vile katika zile nafasi kumi bora kwa wanafunzi wote shule yetu imetoa wanafunzi 6 na wengine wanne ndo wa shule nyingine.
Comments
0