MATOKEO YA MOCK KANDA FII - 2025

19 Sep 2025 00:59 EAT 0 comments
Matokeo ya mtihani wa utimilifu kanda yametoka na wanafunzi wetu wameweza kuongoza katika shule 19 za wilaya ya Chunya.

Kikanda jumla ya shule zilikuwa 797, na shule yetu imefanikiwa kuwa kwenye kuwa nafasi 10 bora kikanda na shule ya kwanza katika wilaya ya Chunya.

Unaweza kubonyeza link hapa kuangalia

https://tinyurl.com/4vjw5hcu
Previous
MATOKEO YA JOINT MOCK TARAFA YA KIPEMBAWE.

Comments

0
No comments yet — be the first to share your thoughts!

Leave a Comment

Preview